[emoji50][emoji50][emoji50]
Unawajua wajeda una wasikia? Au kuona zile gwanda zao? Nakuambiaje hiyo siku nilkua naona kabisaah yesu ananishika mkono tupae juu, ila wajeda wanakomaa na mie,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimependa mstari wa mwisho cocastic...
Lakini si wabaya wa kiwango hicho ujue.yani mjeda unamfanisha na bwana chui [emoji28][emoji28]u must be kidding huh..
Nilijualo ni watu wakimya wasio na papara na wanahuruma pia..tatizo huja pale ukimmchokoza aiseh..[emoji28][emoji28][emoji28]utaimba mapambio yote ya kusifu na kuabudu
Tanzania is 6th country with beautiful girls in Africa..
Ninauhakika 💯uliwachokoza mamangu tena.😅😅😅naomba uelewe huwa hawakurupukagi kabisa.Unawajua wajeda una wasikia? Au kuona zile gwanda zao? Nakuambiaje hiyo siku nilkua naona kabisaah yesu ananishika mkono tupae juu, ila wajeda wanakomaa na mie,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaaah sitaki hata kuwasikia hao watu. Afu huwa hawajari ndugu au vipi aaaaah.
Sawa 😍😍Usijar sasa ntatupia baadae kidogo hivi.
Yeah dea [emoji3590][emoji3590]Sawa [emoji7][emoji7]
[emoji39][emoji39][emoji39]
Tuonyeshe na chura umalize mchezo kabisa [emoji39]
Hio Converse kali blaza
Hio Converse kali blaza