Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 750
- 1,327
......
Vimodel tunajishtukia tunaona bora tufute tuAisee Jf kuna visu hatari, bado sijaona ma model, huku nnaona misambwanda tuu Jamani hata nyie ma model tumeni tufarahie uumbaji...wazee wa closer to the bone tupo
Hapo sasa unaharibu dear...
Mchana mwema jamani.View attachment 1221474
Thread nzuri sana hii inatuepusha na kusutana huko jukwaaniHii thread inanifanya nijisahau kama niko single ama la, imenifanya nisahau kama nina shida ndogo ndogo za hapa na pale, inanifanya nifanye kazi za watu haraka ili niwahi tu humu ndani, inanisaidia kukimbiza muda kama vile sahii hata sijui mchana umefikaje, nimeshasahu kama JF kuna thread nyingine, jamaaaani.!!
thread inatibu chunusi, harara na kupunguza uchibonge.!! Heko Mshana Jr kwa tunguli zako walaqhi limbwata limetuingia.!!
Hahahaa, ndyo maana sijapost sababu similiki chura hata yule mdogoo[emoji30] ,hivi una alleg gani na vyura lakini[emoji1]Bado wewe hujapost vitu tuone chura![emoji16][emoji16][emoji16]
What if uka fall deep kwa msogeza siku??
Mashallah [emoji7][emoji7]Chaga girl[emoji7]View attachment 1221488
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi sitaisave ila ntaichora
Asalaleee kiuno kidogo,,, zigo sasa hebu tafuta ingine tuone vizuriChaga girl[emoji7]View attachment 1221488
Hembu muonyeshe Tena Huyo.Vimbau mbona tushajitupia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha ndii mpaka sasa hivi iko kwa didplay pamoja na picha zingine kuwekwa.
@Kaboom njoo uone mwenza kashikwa kiuno.
Sijaiona aisee, kumbe ni mjeda huyu?Aiseee[emoji134]
Hujaona picha ya mjeda?
Chuchu dede afu una kijungu[emoji8]Chaga girl[emoji7]View attachment 1221488
Dah... Asante sana yna2 [emoji39][emoji39][emoji39] ngoja nijitahidi kumuaibisha shetani [emoji23][emoji419][emoji625]Mchana mwema jamani.View attachment 1221474
Usinifanyie hivyo mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sidanganyiki?!
Hembu weka mamy tuone[emoji7][emoji8]Hahahaa, ndyo maana sijapost sababu similiki chura hata yule mdogoo[emoji30] ,hivi una alleg gani na vyura lakini[emoji1]