Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,453
- 52,954
Ahhh jirani umeanza lini kunifichaAkinidip tu[emoji28][emoji28]naachia mzigo
Ahhh jirani umeanza lini kunifichaAkinidip tu[emoji28][emoji28]naachia mzigo
Jirani sijaweka chochote😅😅Ahhh jirani umeanza lini kunificha
Weka kule basi jirani yangu mpendwaJirani sijaweka chochote[emoji28][emoji28]
Nilishakwambia kule siweki jirani 😅😅😅unafikiri nashawishika baba😅😅😅Weka kule basi jirani yangu mpendwa
Huhuhuhuuh hongera sanaaah deaAiseh napenda kula vyakula vya asili my dear.
Tena nipate ule ugali uliochanganywa mtama,ngano,mhogo mahindi ambayo hayajakobolewa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]naweza kula bila mboga [emoji28][emoji28][emoji28]
Nakuhesabia makosaNilishakwambia kule siweki jirani [emoji28][emoji28][emoji28]unafikiri nashawishika baba[emoji28][emoji28][emoji28]
Yameshafika mingapi mpka sasa jirani 🤪🤪Nakuhesabia makosa
Akinidip tu😅😅naachia mzigo
Miss you zaidi Kipenzi..
Imeisha hiyo mamaNimeamka sasa hivi 🥱🥱🥱
Nishaachia muzigo tangu jana na ushafutika kitambo sana🤪🤪Achia mzigo baasi 😊😊
Weka vitu mkuuImeisha hiyo mama
Naanza na wewe kwanza mwambaWeka vitu mkuu
Nishaachia muzigo tangu jana na ushafutika kitambo sana🤪🤪
Haya fanya kama mkuu Mshana Jr alivyotuelekezaNaanza na wewe kwanza mwamba
Na wewe sijaona ukitupia kabisaHeee jamani