Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Nitumie basi pmSio nakubania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna Ile moja niliweka Kuna mtu alinijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie basi pmSio nakubania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna Ile moja niliweka Kuna mtu alinijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaa[emoji1787][emoji23][emoji1787]Halafu nawewe kambale muda si punde utakula mutama sio mtama.. Sasa Kama hujui tofauti leo utaelewa Sasa.
Mashairi yako unamuimbia kila mtu humuSema nami Basi mahabuba nipate ahueni ya moyo..! Njoo tulitapanye zuria takatifu tuunde kilichochema..[emoji6]
Huwezi kuzungumza yakwetu tu mpk uweke na hao kina kila mtu..?Mashairi yako unamuimbia kila mtu humu
Jaribu kwenda madam ila utanipa feedback, Kuna jamaa zangu miaka ya nyuma kdgo walijarbu kwenda kusoma upadre , hawakumaliza mwaka walikimbia.Kwanini nisiweze?
Wewe cha woteHuwezi kuzungumza yakwetu tu mpk uweke na hao kina kila mtu..?
Usiwe hivyo mrembo,mashairi yale ni ubabaikaji tu kwako zinatoka tenzi za roho! Nataka niukune wako moyo,kwa penzi mujarabu lisilopimika..[emoji6]
Yaani hii taarifa imenichekesha nusura nizimie.Raha ya kuwa kileleniView attachment 1546390
PM hivi ni wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia watu wanapazungumzia sanaNitumie basi pm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaribu kwenda madam ila utanipa feedback, Kuna jamaa zangu miaka ya nyuma kdgo walijarbu kwenda kusoma upadre , hawakumaliza mwaka walikimbia.
Ni porini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PM hivi ni wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia watu wanapazungumzia sana
Hallelujah [emoji119][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu Anikipa kibali nitaenda
We barakoa kalale nyie ndo mnaleta na mikosi hataki kunielewa..PM hivi ni wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia watu wanapazungumzia sana
Amen[emoji23][emoji23][emoji23]Hallelujah [emoji119][emoji23]
Daaah kumbe[emoji44]Ni porini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ninaenda PM [emoji2094]We barakoa kalale nyie ndo mnaleta na mikosi hataki kunielewa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah kumbe[emoji44]
Ukinichokoza namchukua kabsa na atakuambia mwenyew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We barakoa kalale nyie ndo mnaleta na mikosi hataki kunielewa..
Njoo porini bas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka Basi picha
Dah! Okay nishajua kiu chako,nitalishika pindo lakoWewe cha wote
Akhuu[emoji23][emoji23][emoji23]