Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Weka hapa tufaidi vizuriNjoo porini bas[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka hapa tufaidi vizuriNjoo porini bas[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulete mahari kwetuDah! Okay nishajua kiu chako,nitalishika pindo lako
Kwa mbwembwe za kimasomaso na kuutakasa mwili wako..[emoji6]
Hofu juu yangu ondoa.. mi sio cha wote mama..
Naogopa macho ya watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka hapa tufaidi vizuri
Kwahiyo ndo umeamua uende kuzimu baby..?Na ninaenda PM [emoji2094]
HayaNaogopa macho ya watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ndo umeamua uende kuzimu baby..?
Ombi lako limepita..Ulete mahari kwetu
SawaOmbi lako limepita..
Mkuu ona Sasa sisi hatuna maneno mengi Kama madalali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ndo umeamua uende kuzimu baby..?
Njoo ntakuonyesha Kila kitu, Hadi vile visivyoonyeshwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya
Nikija huko unanionyesha bila kunificha kitu
Ana mashairi mengi huyo badala ya kufunga safari alete mahari nyumbaniMkuu ona Sasa sisi hatuna maneno mengi Kama madalali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiende kwa huyo hao ndo wale vinyonya damu kitakulaghai bure unisahau kwa muda Tena hivyo ndo vile vimtu vinavyojua kukondesha mtu anakuwa skeleton..😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kuzimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji7][emoji7][emoji7]Njoo ntakuonyesha Kila kitu, Hadi vile visivyoonyeshwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiende kwa huyo hao ndo wale vinyonya damu kitakulaghai bure unisahau kwa muda Tena hivyo ndo vile vimtu vinavyojua kukondesha mtu anakuwa skeleton..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ogopa watu wenye na kelele nyingiAna mashairi mengi huyo badala ya kufunga safari alete mahari nyumbani
[emoji257][emoji7][emoji7][emoji7]
Jipe ujiko uuone mwiko..😜Mkuu ona Sasa sisi hatuna maneno mengi Kama madalali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kuwaogopa mno[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]ogopa watu wenye na kelele nyingi
[emoji8][emoji176][emoji257]
He he! Nenda Sasa kwa hilo kumbikumbi uje uone si ni vitendo litakutenda mpk uyakumbuke mashairi yangu..😂Wa kuwaogopa mno[emoji1787]
Mwanaume ni vitendo buana[emoji23]