Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mi nakuruhusu tu nenda halafu ukija geuka utakuta nami nishageuka hapo ndo utaelewa kwanini iliimbwa ile nyimbo dunia haina huruma..😅
Usiache mbachao kwa msala upitao usiku mweka my sweet love..😉
 
Mi nakuruhusu tu nenda halafu ukija geuka utakuta nami nishageuka hapo ndo utaelewa kwanini iliimbwa ile nyimbo dunia haina huruma..[emoji28]
Usiache mbachao kwa msala upitao usiku mweka my sweet love..[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gudnight too babe kenzy[emoji8]
 
Duuuuh hapa mate yanachuruzika tyuuuuh, Chakorii njoo hapa uone vityuuuh vitamu
Imenivutia sana hiyo salad 🥗 Kuku kwa mbali..

My dea vyakula vinavyouvuruga ni ugali dona,matembele,Nyanja chungu,namna,biringanya,Dagaa,samaki sangara(kichwa),nyama ya kuchoma,kuku wa kienyeji chukuchuku pilipil ya kutosha😋😋😋mpka minyoo yangu imesimama
 
Imenivutia sana hiyo salad [emoji1637] Kuku kwa mbali..

My dea vyakula vinavyouvuruga ni ugali dona,matembele,Nyanja chungu,namna,biringanya,Dagaa,samaki sangara(kichwa),nyama ya kuchoma,kuku wa kienyeji chukuchuku pilipil ya kutosha[emoji39][emoji39][emoji39]mpka minyoo yangu imesimama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan unakua bonge, unakula vitu OG yaan nechurale, nakujua kwa msosi hujiban wee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan unakua bonge, unakula vitu OG yaan nechurale, nakujua kwa msosi hujiban wee
Aiseh napenda kula vyakula vya asili my dear.
Tena nipate ule ugali uliochanganywa mtama,ngano,mhogo mahindi ambayo hayajakobolewa😋😋😋😋naweza kula bila mboga 😅😅😅
 
Back
Top Bottom