Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata kama Chakorii sijawahi kuona picha yake wala kumuonana yeye

Hiyo picha siyo picha yake na wala siyo yeye mkuu Mjep

Mwandiko wake na muonekana wa hiyo picha(sura)ni vitu viwili tofauti mkuu

Kwa hiyo naungana na wewe kupinga/kukataa siyo Chakorii huyo.
Ohoooo kumekucha..hebu niambie kam sifananii na huyo basi nafanana vipi mkuu
 
Ila weww si wa kunicheka joanah
View attachment 1546662

20200824_131341.jpg
 
Back
Top Bottom