Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Nimeotea kwa kuzingatia vigezo flani hiviUmeamua kuotea tu au umetumia vigezo. Vigezo gani
Nimeotea kwa kuzingatia vigezo flani hiviUmeamua kuotea tu au umetumia vigezo. Vigezo gani
Oooooh vizuriiih sanaaah.Ilikuwa graduation. Baada ya hapo wahuni wakaenda club, location, swimming. Sisi tukaenda party fupi na family friends.
Asipokupa nambie mkuuDepal..
Naomba picha
Ila Dogo...Unajikuta nani lakini?Kama hizo namba kwa id yako ndiyo mwaka wako wa kuzaliwa basi wewe ni mdogo wangu




X- gf wako ni noma na nusu, mm mwanaume akivaa ripped jeans hatuendi njia moja.Kama umeangalia uvaaji unaweza kuwa umepatia. Huwa natofautisha mavazi na mahala pake au kulingana na watu.
Ex-girlfriend alipenda nivae hivi. Nowadays sivai labda usiku.View attachment 1546266
Asingeweza toka na mimi nikiwa nimevaa vitambaa kabisa. Mwenyewe nishawahi muona mara moja tu na gauni, havai sketi. Kwanza katimiza 20 yrs mwezi June.X- gf wako ni noma na nusu, mm mwanaume akivaa ripped jeans hatuendi njia moja.
Nlipiga ana ana do, nikaangukia kwa yule aliyependeza zaidi. Maana bila kupendeza pic usingepost![]()
Asante hujawahi niangusha..
Hebu angalia kwenye ile folder yako unipatieAsipokupa nambie mkuu
😄😄Nipogo mpendwa
We kijana ulipotelea wapi aise
Life z tyuuuh short, acha tufurahiView attachment 1546272
Mekumiss piaUlimissika
Ndo kias gan, maan sijuagi bei ya vinywaji. Ili nkupatie chaapNichomolee zitakazotoshea amarula ndogo
Mils 200- 12KNdo kias gan, maan sijuagi bei ya vinywaji. Ili nkupatie chaap
Nakupa ya mils 750, ili utosheke haswaaaah. Unajua sipendi uteseke dea. Afu natak kufanya manunuzi ya zawadi za uncle.Mils 200- 12K
Mils 375- 18K
Mils 750- 35K
Jimalize mwenyewe...
Mils 750 utakuwa umenimaliza kabisa 😋uncle yupo tu anakusubiri...Nakupa ya mils 750, ili utosheke haswaaaah. Unajua sipendi uteseke dea. Afu natak kufanya manunuzi ya zawadi za uncle.
Na wish mno kumuona uncle ake, usijar umepata hiyo amarulahMils 750 utakuwa umenimaliza kabisauncle yupo tu anakusubiri...