Hivi kuna mtu Snapchat inamkataa?! Dada achana na ile kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishtuka saa 8 nakuta ndio unafurahia imetoka [emoji23][emoji23]
Emu iweke tena bana, hata kwa dk 3
😂😂😂😂😂 basi hatari mno.Wapo etii.. ila snapchat ikikugomea we basi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ni sawa na make up idunde
Kumekucha sasaNimeshaskia kuringa!!
Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!!
View attachment 1221354
this morning..!!
Iko wapi mbona sijaona?Imerudi sema nimefuta kidogo. Atakaenijua nasema kwamba ATAJUA MWENYEWE
hahahaha Saint anne sijui walimfanya nini 823kj uko. Ndomana hataki kabisa kunisikia.
Sitarudia tena student; nisije nikajipeperushia njiwa wengi.
Mpaka dk hii sijaona Mwenye dimpoz, jamani tuwekeeni basi tuyafurahishe machoo [emoji91][emoji91]
Mzigua90 Saint anne kapeace wekeni dimpoz hizo
Pajaaa ilooo 🔥🔥🔥Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Fanya hata kunitumia pm
Babake umeanza lini uongoMimi pia nipo nadhurura dhurura mitaani tu,
Huku kwao SHIBOB.
Naona Huu Uzi unaenda Kasi sana..View attachment 1221323
Huu uzi ume prove thesis moja ya professa wangu
Mi ntakuja niwe hata housegirl sio kwa maua haya
Mzigua umeliona zigo hili? Pata picha likiinuka sasa
Hebu tusaidie ya kusimama,,, ningekuwa dume hii mizigo ingenimalizia pesa zangu sio siri
Umeficha vidoleYaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Haha' camera zinaongopa khatari, Mtu akikutana na wewe live anaweza kukupita asikutambue walaqhi'..!!