Wa kienyejiView attachment 1543925
Ugali uligunduliwa na Wasukuma. Tafiti zote zinakubaliana [emoji16][emoji16][emoji16]...View attachment 1544415
Huo ugali ule unaitwa "nguna"
Jamani swali la kizushi?
Kama wazungu wanavyobishana nchi gani kaanzisha cheese(jibini) au chips(vihepe)
Kwa Africa nchi gani ilianzisha ugali???
sababu nimekutana na wazambia, wazimbabwe, wasouth, wakenya na ............
wote wanajua ugali
Ugali - Wikipedia
Chakula kama hiki ndiyo unakula halafu unakwenda kulala au ukifika home unakuta kuna chakula i.e. ugali? Watu mna matani kweli aisee
Kama wangejua haya maradhi ya kujitakia,
Haya Neno la Siku
Ugali uligunduliwa na Wasukuma. Tafiti zote zinakubaliana [emoji16][emoji16][emoji16]...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Tunaambiwa eti mahindi yaliletwa Afrika na Wareno...na ulezi, mihogo na mtama sijui na watu gani. Kama hii ni kweli pengine inawezekana kufuatilia historia ya kuenea kwa ugali kwa kufuatilia historia ya wavamizi hawa ilivyokuwa katika bara la Afrika...na huko walikotoka....just an innocent observation [emoji2221]
Inapendeza!
Ujanja mwingi. Nimempenda Mwl.
Wewe Joanah ulishawahi kuweka picha yako hapa?
Halafu nakukumbusha tu. Ukimalizana na hiyo avatar yako ya sasa ile orijino hii hapa kama labda uliipoteza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1544333
Where are my fellow big fat ladies?
Weka picha kwanza acha kizunguWhere are my fellow big fat ladies?
Niko hapa..π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈWhere are my fellow big fat ladies?
Tupo hapa [emoji2960]Where are my fellow big fat ladies?
Hapa iwepo kachumbari na pilipili[emoji7]View attachment 1544608Haya tuzimue kidogo na mihogo [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Hapa kuna CHACHANDU shhhhhhhhhhhhhhhhhhh....aaaa...fulu kuwashwa ππHapa iwepo kachumbari na pilipili[emoji7]
[emoji39][emoji39][emoji39]nakuja kulaHapa kuna CHACHANDU shhhhhhhhhhhhhhhhhhh....aaaa...fulu kuwashwa [emoji39][emoji39]
Aaah dea acha figisu bhanaa uwiiiih lolNgoja niidelete sasa
Imeisha hiyoooo π π πAaah dea acha figisu bhanaa uwiiiih lol
Ndo ukuje sasa loh[emoji39][emoji39][emoji39]nakuja kula
Nipe locationNdo ukuje sasa loh