Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Suruali za dada zao! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tena hawa zao ndiyo zimechanwa vibaya hadi mtu unajiuliza sasa nao wanamuonesha nani mapaja yao! [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Halafu unakuta vipaja vyenyewe vimepaukaa halafu vimekomaa hivyo[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nimeokoka ndivyo
Mmmm... sidhani.

Hivi ukiokoka unatakiwa usiwe unafanya matendo yapi?

Na yapi unatakiwa ufanye?
JamiiForums-54598263.jpg
 
Back
Top Bottom