Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,873
- 51,658
Uwoga wako tu, ingia mzima mzima
Uwoga wako tu, ingia mzima mzima
Mi natumia nokya tochi smartphone yangu ikitoka kwa fundi tu cha kwanza ni kuselfika.Anza wewe mkuuu
Kahamia kwa ndege sasa.
Ila huyu ndugu yetu huyutumvumilie tu.
Kabisa.. Tuishi naye tu hivyo hivyo. Hatuna namnaKahamia kwa ndege sasa.
Kwakweli tumvumilie tu maana hamna namna.

Jirani yangu habari bhana🤣🤣![]()
Unaogopa nini
Hebu jaribu ki hip hopMmmh nife![]()
Sitaki tena, we muoga sanaJirani yangu habari bhana![]()
Precaution ni muhimu![]()
Unaogopa nini
🧐🧐🧐🧐🧐Hebu jaribu ki hip hop
Uwoga ndo akili jirani 🤣🤣🤣🧐🧐Sitaki tena, we muoga sana
SiweziHebu jaribu ki hip hop