Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanafamilia sijui umewapa mlungula[emoji134][emoji134]
Eti dada Makiseo uko tayari kukaa kikao cha kuamua hii kesi kweli? Maana najua hata wewe amekukosea.
Huyu hata muda wa kumsikiliza hivi tunao tena kweli? Tumempa nafasi kibao akatuchukulia poa sana.
Binafsi sipo hata tayari kumsikiliza tena. Nenda kwenye Sheria mdogo wangu. Dadako nipo hapa.[emoji3]
 
Jirani utafanya ninuniwe aiseh kuna mtu namuonaga huku anamchabo mtu chake kwa jicho la tatu[emoji41][emoji41]

Hivi kumbe ni kweli anakesha club[emoji28][emoji28][emoji28]nilijua ni mwandiko jirani.ni mume wa mtu huyo...

[emoji28][emoji28][emoji28]hawezi nirudia tulikuwa tunafanya utani jirani kuna sehemu naonaga comments zake[emoji1787][emoji1787]
[emoji5][emoji5]
 
Sio kwa mtoko huu
FB_IMG_1577695637871.jpeg
 
Kumbe na zenu zimechanwa hadi mapajani[emoji134][emoji134][emoji134]
Maisha yanakwenda kasi sana aiseee!

Suruali za dada zao! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tena hawa zao ndiyo zimechanwa vibaya hadi mtu unajiuliza sasa nao wanamuonesha nani mapaja yao! [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Back
Top Bottom