Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na Dizasta vina
IMG_20200817_235305_068.jpeg
 
Hahha ke ukiachwa kwenye mataa inauma sana utawafollow wakina maisha halisi ujiunge group elfu kumi upate ushauri murua
Nani alikwambia mapenzi yanashaurika madam😅😅😅ni mwendo wa kupigwa hela kama kichaa...

Utaumia kwa muda ila ukiamua kudharau hakuna kitu unashindwa fanya...

Unampenda mtu akikuletea miyeyusho unahama unaenda kuota kwa mwingine 😅😅😅
 
You're right kuna jamaa alilipia for a month lakini hamna jipya mule zaidi ya nyie wataka ushauri ndo mtakuwa mnashauriana zaidi .
Hahha eti unaenda kuota kwa mwingine .
 
You're right kuna jamaa alilipia for a month lakini hamna jipya mule zaidi ya nyie wataka ushauri ndo mtakuwa mnashauriana zaidi .
Hahha eti unaenda kuota kwa mwingine .
Wacha weee...kwa hiyo ikala kwake pasee😅😅

Mapenzi ni kama majani aiseeh..
Ukining’oa hapa naenda ota sehemu nyingine.

Napenda ghafla,nakifu ghafla pia
 
Back
Top Bottom