Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anna kwani unachagua Mchumba kwa muonekano? Si unajua vile wanaume wazuri kwa muonekano wanavyotesa!
Waache wao wakaka wachague kwa muonekano maana wanaonaga kwanza kisha wanapenda!

Haya fanya kuweka picha kompliti wifi nifanye kazi maana tabia nishaipenda!
Mimi Sina shida na muonekano
Nataka tu kumuona wifi
Mwaka mzima kweli hutaki nimuone mume mtarajiwa???
Unaninyima Haki yangu

Nakuja kuchukua picha hivyoo
 
Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa!

Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
Ohooo...ni kweli aise..
😅😅😅nguo yoyote itakayochanwa bila sababu ni big no aiseh.

Ila kuna high waist ni nzuri nazipenda..
😅😅kuna ile unakuta mdada kupiga high waist mpka kwenye maziwa huko😅😅😅😅na mkanda juu🙆‍😆😆hapana aiseh
 
Back
Top Bottom