Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Embu tuone
Heheh sina picha rafiki
Embu tuone
Duh ushaninyima tayariHeheh sina picha rafiki
AiseeeMimi magauni nilikuwaga napenda zamani! Ila as i grow up najikuta napoteza interest kwenye magauni hivyo mie ni mwendo wa suruali tu na tshirts au shati za mikono mirefu halafu nakunja!
Ndiyo hizihizi za kuelea[emoji1787]Kama hizi dear
Unafatilia lakini darasa unalopewa kuhusu kuvaa jeans Anne?Unatunyima kuona nini?
Aiseee
Kumbe amenifariji tu [emoji23]
Alokuita nani?Abee [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mrembo mwenyewe nanilii zake[emoji4]
Safi kumbe wewe ni mtiifu
[emoji7]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Huyo anavaa suruali hata akilala [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
I'm sure utapendeza bhanaNdiyo hizihizi za kuelea[emoji1787]
Wallah hii sijavaa bado.Nikaelee humo ndani hivyo????
Yeah.Chakula kizuri,cha zaidi ni kuwa kipo simple tu
Sasa kila nikikuambia uweke picha umegeuka ili nimpelekee hutaki ..picha zote unajificha. Hebu tuma kompliti basiHuu ukimbaombao ulete ajali!?!?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wifi,kaka yako anakuja lini jamani [emoji847][emoji847][emoji847]
Ujue namsubiri hadi naimba haleluya,,ninong'oneze tafwadhali
Nimemsubiri mno Jamani
[emoji134][emoji134]Usijali
Hahahaha hilo neno hulisahau tuhMrembo mwenyewe nanilii zake[emoji4]
Suruali za high waisti zinahitaji kiuno na hipsi zilizokaa vizuri[emoji3]
LolSafi kumbe wewe ni mtiifu
Duh ushaninyima tayari
Wewe haujaweka Selfie karibia mwaka sasa[emoji848][emoji848]Haujanyimwa nikipiga nzuri nitatuma [emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]