Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Hahhaa kwa nini hutaki nikuite mkuu ?Kwanza kabisa usiniite mkuu..
Nahisi bado unakula sana Nyama na vitu vingi vya sukari,haya niambie umefika kilo ngapi sasa!??
Shida nyingine mazoezi hutaki hata kuyasikia
Hamna nyama nimepunguza kweli , wali nakula mara mbili per week sukari pia sio sana na sijapima kilo muda kweli .