Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sio magotini tu...suruali iliyochanika popote pale siwezi vaa kabisa nilishashindwaga.

Ila huwa naenjoy sana kumuona mtu kavaa lakini sio mimi.

Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa!

Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
 
Yaani ujue huwaga wananiponda Huku zile gauni zangu wanaita mifuko
Ila hizohizo wanakuja kuazima j2

Mimi hizo suruali huwa nawaambia zimeliwa na panya,nitawawekea viraka

Mimi magauni nilikuwaga napenda zamani! Ila as i grow up najikuta napoteza interest kwenye magauni hivyo mie ni mwendo wa suruali tu na tshirts au shati za mikono mirefu halafu nakunja!
 
Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa!

Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
Suruali za high waisti zinahitaji kiuno na hipsi zilizokaa vizuri😀
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    2.4 KB · Views: 6
Back
Top Bottom