NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
𤣠... unataka nibebwe juu kwa juuMimi nipo hapa kila siku
Naomba ujiselfishe bila emoj
Nataka nikuone
𤣠... unataka nibebwe juu kwa juuMimi nipo hapa kila siku
Naomba ujiselfishe bila emoj
Nataka nikuone
Ndugu yangu umefaidi aiseee.
Huongezi nyingine??oooooh....haya

... unataka nibebwe juu kwa juu






Hutaki fundi akupime tu weweNizivalie wapi![]()
Kwanza sina
Mlaji alishaonekana sana AnneTunataka tumuone na mlaji

muone kwnza.....
Ndie aliyepiga picha Naddy
Mlaji yuko wapi?
HatujamuonaMlaji alishaonekana sana Anne

Hutaki nikuone?muone kwnza.....
Nilijua tu utatak kingine![]()

Acha tu ndugu yanguNdugu yangu umefaidi aiseee.
Utamu wake hapo balaa.

Ajigeuzie kameraNdie aliyepiga picha Naddy
Tatizo sijui nitazivaa wapiHutaki fundi akupime tu wewe


Mchumba
Hata suruali za kitambaa huvai ?Wakikufundisha uje kunifundisha kuvaa suruali
Suruali kama suruali yaani sijui nakwama wapiHata suruali za kitambaa huvai ?
Mimi sio magotini tu...suruali iliyochanika popote pale siwezi vaa kabisa nilishashindwaga.
Ila daah hebu nifundisheni na mimi kuvaa suruali zilizochanika magotini maana nimeshindwa kabisa
Family friend kwanini unamsumbua mume wangu? Si umwekee hiyo picha!!!Family friend!