Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,752
- 182,860
[emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39]
Mimi navaa za kitambaa siku nikivaa jeans sijui najisikiaje hata , nahisi mazoea maana navaa nguo fupi pia .Suruali kama suruali yaani sijui nakwama wapi
Khaaah!![emoji134][emoji134][emoji134]Naona kama unanionea tu..
Ila nitafanya namna
Oh hongera sanaMimi navaa za kitambaa siku nikivaa jeans sijui najisikiaje hata , nahisi mazoea maana navaa nguo fupi pia .
We Ndugu yangu tu..Khaaah!![emoji134][emoji134][emoji134]
Mpenda pichaOh hongera sana
Naomba usindikizie na selfie[emoji4]
Natafuta mwanasheria wa kuufuta maana unanifanyia mambo meusi sana.We Ndugu yangu tu..
Si unajua undugu haufutwi
Wewe hadi nikikufwata pm ndo utatoa.Mpenda picha
Hata jinzi huvai? Maana itakutoa!!!!Tatizo sijui nitazivaa wapi [emoji23][emoji23]
Labda ndani nyumbani.
Nifundisheni mweee,magauni yamenichosha
Jinsi ulivyo modo hivyo ungekuwa unavaa jumpsuit hivi ingekuwa bomba .Oh hongera sana
Naomba usindikizie na selfie[emoji4]
Tunaomba pichaJinsi ulivyo modo hivyo ungekuwa unavaa jumpsuit hivi ingekuwa bomba .
Hata mimi suruali siwezi kuvaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Tatizo sijui nitazivaa wapi [emoji23][emoji23]
Labda ndani nyumbani.
Nifundisheni mweee,magauni yamenichosha
Hahaha Anne huwa unanifurahisha mnoWewe hadi nikikufwata pm ndo utatoa.
Nakulia tu timing humu
Tuma yako kwanza wakti natafuta .Tunaomba picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata jinzi huvai? Maana itakutoa!!!!
Ladies first hujui!??Tuma yako kwanza wakti natafuta .
AiseeJinsi ulivyo modo hivyo ungekuwa unavaa jumpsuit hivi ingekuwa bomba .
Daaaaa aiseee
Bora Wewe unavaa ukiwa unafanya mazoeziHata mimi suruali siwezi kuvaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sasa endelea kufurahiHahaha Anne huwa unanifurahisha mno