Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Yaani kuna wadada humu wapo kwenye top 3 yangu.
Wakiwepo kwenye mada Hakuna kinachoharibika.
Yule dada tangu saa 7 nimemuacha mule,nimerudi saa1 nikamkuta..
Anapangua hoja vibaya mno[emoji4]
Wanaume wanatamani wajing'ate huko waliko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona walivyoishiwa hoja wanabaki wanarukaruka tu kama bisi kumtukana dada wa watu