Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona aise kumbe yule ndiyo kiboko yao
Yaani kuna wadada humu wapo kwenye top 3 yangu.
Wakiwepo kwenye mada Hakuna kinachoharibika.

Yule dada tangu saa 7 nimemuacha mule,nimerudi saa1 nikamkuta..
Anapangua hoja vibaya mno[emoji4]
Wanaume wanatamani wajing'ate huko waliko
 
Back
Top Bottom