Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu unaandika vzr sana hadi raha , nataman uwe mwalimu wangu wa mwandiko [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wengine tunajaza daftari kwa siku[emoji3]
Ni muda tu, nadhani kuna muda utafika na mimi nitasahau maswala ya kuandika
Japo napenda Sana kuandika..haiwezi pita siku sijaandika chochote.

Mimi navyocharanga kama bata, nikimaliza kuandika huwa hata sitaki kuangalia nilichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…