cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,950
Tobaaaaaah tena zile zinakuwaga kasi sana, sipati picha hiyo ajali ilikuaje, mmmmh inauma san lolKati ya hizo gari nne kuna gari ya wagonjwa(Ambulance)
Pole yao kwa kweli
Tobaaaaaah tena zile zinakuwaga kasi sana, sipati picha hiyo ajali ilikuaje, mmmmh inauma san lolKati ya hizo gari nne kuna gari ya wagonjwa(Ambulance)
Pole yao kwa kweli
Mno
[emoji7][emoji7]Hapo chacha c* ni burudaan
Woooooop[emoji7][emoji7]
Madogo!!!!!Mno
Katika madogo wastaarabu nimebahatika kuwajua nahisi huyu Ni wa kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]
Ila siku hizi nimekuzoea kweli
Hadi nakujaga kubwabwaja ujinga ujinga wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]
Kama upo daslam toa location
YaaaaniHazard kalale [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaangalie[emoji2092]Bora umeongea na wewe. Natamani kama wale watu walionipa zile sifa wapite hapa waone sijui niwaite.
Saint Anne unakumbuka kwenye ule uzi wa sijui mtag mtu kisha weka sifa yake moja kuna mtu alisema Zoë namuona mbishi hasa kwenye masuala ya kutetea wanawake anaweza akabishana na JF nzima. Akaja mtu akadakia kuwa eti mimi ni mbishi hadi in real life daah.
Mno
Katika madogo wastaarabu nimebahatika kuwajua nahisi huyu Ni wa kwanza.
Ngoja nikaangalie[emoji2092]
Ila ule Uzi naona ni utani tu