cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
Hapo chacha c* ni burudaanMambo hayo [emoji4][emoji4]
Hapo chacha c* ni burudaanMambo hayo [emoji4][emoji4]
Aiseee[emoji134]
Kati ya hizo gari nne kuna gari ya wagonjwa(Ambulance)Mungu wangu weeeeh, yaan hadi natetemeka kwa hofu hapa, Jah awaponye kwa kweli.
Saint AnneMUNGU wangu[emoji26]
Ni nanenane umetoka?Vumbi sasa [emoji85][emoji85][emoji85]View attachment 1531540
Mungu awaponye haraka majeruhi [emoji120]Saint Anne
AminaMungu awaponye haraka majeruhi [emoji120]
Mkuu tafuta gundi au uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
Basi hawajui kumsoma mtu.
Mbona mimi nakuona mstaarabu sana au kwa kuwa sijakuzoea Sana[emoji848]
Ila siku hizi nimekuzoea kweliWewe mbona umenizoea tena sana tu
🤣🤣🤣🤣🤣 no...Ni nanenane umetoka?
Kama upo daslam toa location[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo mimi sio mpole[emoji134][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] hiyo sasa ni sifa ya Jael siyo mimi
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Daah ila asante kama hata angalau umeniona mimi mstaarabu kuna watu wananiona kauzu mkorofi muongeaji sina adabu but mwisho wa siku mimi napenda matani tu
Though sina maana matani yangu ndiyo yawe kikwazo kwa wengine
Oh pole dear[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] no...
Tulienda hukoo kunaitwa Mbande ...mbele ya Mbagala kuna vumbi la hatari.
Hapo chacha c* ni burudaanMambo hayo [emoji4][emoji4]
Ni mstaarabu sana.Basi hawajui kumsoma mtu.
Mbona mimi nakuona mstaarabu sana au kwa kuwa sijakuzoea Sana[emoji848]
Poleeeeeh mamVumbi sasa [emoji85][emoji85][emoji85]View attachment 1531540