Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Me naongeza sio kupunguza.
And then sinywi pombe bia, nakunywa tu dry alcohol like wine+ Smirnoff.
Bia ni mbaya jamani kwanza chungu lakkn watumiaji wanakwambia uchungu ndiyo utamu wenyewe. Bia nzuri kiasi ni Heineken
Savanna,wines hususan red na whiskey=maisha burudani..

Bia ni chungu na siziwezi loh!
Sawa sawa ,sio demu unalipa ofa anaagiza Safari lager Kubwaaa
 
Hahahaha, mkinunua wenyewe ni safari lager lkn ofa ndio hizo sasa mnazitaja hapo ( utani tu )
Najua😅😅
Kwanza nikiwa sina hela siendi kokote hilo la kwanza,ulishawahi kuona mtu kajitoa outingi halafu hana hela!!😅😅anatia huruma ni kinyama

Kama mwanamke ili kuongeza kujiamin,ni lazima niwe na cash ya kunilisha,kuninywesha na kunirudisha nyumbn.
Hata huyo mwenye kutoa hiyo offer akija anaanza jiuliza mara mbili mbili
 
Najua
Kwanza nikiwa sina hela siendi kokote hilo la kwanza,ulishawahi kuona mtu kajitoa outingi halafu hana hela!!anatia huruma ni kinyama

Kama mwanamke ili kuongeza kujiamin,ni lazima niwe na cash ya kunilisha,kuninywesha na kunirudisha nyumbn.
Hata huyo mwenye kutoa hiyo offer akija anaanza jiuliza mara mbili mbili
Hahahaha, sawa sawa asije ktk meza kiboya
 
Back
Top Bottom