Nikifika 60 si nitakuwa na kitambi?Depal....
Kesho naona ina mambo mengi,ngoja nianze muda huu...
Unazo kilo 53 na lengo letu uwe na kilo 58 to 60:
Endelea kupunguza matumizi ya limao kwa wingi(jitahidi ili tusitwange maji kwenye kinu).
Jitahidi ule wanga na nyama kila upatapo nafasi na hapa ule hata kama hauna njaa iilimradi iwe ni mlo wa mara tatu kwa siku.
Weka msisitizo kwenye matumizi ya vitu vyenye sukari kama Juice,Cake na soda;angalizo usizidishe matumizi yake nayo yana madhara kiafya..
Pata muda kupumzika pale utokapo kwenye Shughuli zako za kila siku at least uwe na masaa yasiyopungua manane ya kulala na kuifanya akili Irelax...
Chips na Pork usiziweke mbali pia angalau kwa wiki upate mlo wa aina hii.
Imani yangu ukiyafanya haya kwa kiasi utafikia lengo nzuri fanya na mazoezi mepesi ili isije kuwa shida kubalance cholesterol .....
Poleeh Jah akusaidie sana.Nikifika 60 si nitakuwa na kitambi?
Masaa nane kulala
Pork + chips - red meat
Malimao nitapunguza
Wanga nawezana na wali tu nahisi. Siku hizi hadi mkate unanishinda, nikijitahidi ni slice 3 hapo nimejilazimisha mno.
Masoda and the like
Mazoeziweekdays uwa nina kibarua cha kupanda ngazi na kushuka. Zoezi linatosha ilo.
Ngoja nikazane, natumaini sitokuangusha mpendwa.... Asante sana & ubarikiwe
😅😅 nahangaika mno. Hapa hata huyo Jah ananishangaa tuPoleeh Jah akusaidie sana.
Wapi depal nko maeneoHadi muhuri
Ushafika mara hii. Karibu sanaWapi depal nko maeneo
Nimeshangaaa....Hadi muhuri
Duuuuh poleeeeh sana, afu unakunywanahangaika mno. Hapa hata huyo Jah ananishangaa tu
hujionei huruma wee? Acha bhana dea.Nijionee huruma kwa sababu zipi?Duuuuh poleeeeh sana, afu unakunywahujionei huruma wee? Acha bhana dea.
Unajua viwanja vya kitimoto!!!...hunters na enjoy pande zangu sana weekend .Wale wako fresh, pia kuna wale wa maliasili pale... Pia kuna Moshono kwa Mr. Pork na yule jirani yake. Kwa Sakina kuna Hunter na Njooy.
Kotazi kweli sijawahi kukuona wewe? Hebu niambie upoje...Yan uwa nazunguka ile mitaa kama pia![]()
Kupunguza uzitoNijionee huduma kwa sababu zipi?


, eeh afu nukuulize hivi nyie hamuoni kuchacha? Maan nlijaribu kunywa serengeti ile kuweka kwenye ulimi nilihis short na uchachu wa haja daaaah, Tupo peke yetu..nikubananisheHello Blaza![]()
![]()
Me naongeza sio kupunguza.Kupunguza uzito, eeh afu nukuulize hivi nyie hamuoni kuchacha? Maan nlijaribu kunywa serengeti ile kuweka kwenye ulimi nilihis short na uchachu wa haja daaaah,
Najiulizaga wanaolewa wao hawaoni kuchacha.
Nilikuwa nachungulia comments zako nikaona ulisoma chuo Uganda, nataka kuconnect dots hapa 😅 unafanya kazi Ta.....? Lile shirika ofisi zake ziko karibu na Exim BankUnajua viwanja vya kitimoto!!!...hunters na enjoy pande zangu sana weekend .