Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,407
Rafiki yangu
Rafiki yangu
Mfuko ndiyo mambo yote kakaHahahaha, u handsome sio ishu, ishu mfukoni ,hahahaha ,sawa sawa




We mzee Nenda taratibu,Hahahaha, kijana binti anasema kabisa maisha ya usingle magumu,na nyie vijana mpo mnashangaa
Unadhani mm Mzee napenda kuona binti mrembo km huyo anakua single kiasi aseme maisha magumu ?
Acha mjomba ako nijaribu kdg
Mwanaume pesa, sura tutavumilia au sio? Teh teh!







Ukisema hivyo unaniumiza eti,Rafiki!!! Unanikosea..
Hivi kweli tangu jana nakuomba jambo hilo hilo tu.. Sikuchoshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.. Nasubiri..Ukisema hivyo unaniumiza eti,
Ila subiri nikiwa sawa nakutumia hadi utazikinai...hii ni ahadi
Hahaha hamna mzee UsiogopeMkuu unataka umfikishe wapi tena
Ila si hvi karibuni...
Umemisiwa
Wale wako fresh, pia kuna wale wa maliasili pale... Pia kuna Moshono kwa Mr. Pork na yule jirani yake. Kwa Sakina kuna Hunter na Njooy.Popote tu unipeleke, ila mimi napendelea ya kitaa pale kotazi
Unakula ugali saa 5 kasoro? Unajiweza aisee
Oyoooo!!
Hapa ndo namaliza kulaUnakula ugali saa 5 kasoro? Unajiweza aisee
Naomba ufanye kwa ajili yangu..Ila si hvi karibuni...
Unajua mie sinaga picha kabisa(on q very serious note...
Ila nitafanya kwa ajili yako