Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Ugonjwa gan tena jaman angalia usilazwe tu
Clkey una ugonjwa wangu
Clkey una ugonjwa wangu
Upaja sasa lol,
Uwiiiiiiiiiih qareeeeh
Miss u more sisy[emoji171]
Hopefully utaanza kutupia Tena zile picha kali[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijua vinawapata tu wengine eeh?Sikuwahi kufikiri kama nitakipata,siku zote mie huwa sifuati diet.
Safari hii hali imekuwa tofauti ila nitakipunguza tu
Usijariiiiiiih dea,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]taratib usije nifokea tu
Itabidi tu nilifuate tiba [emoji3]
Nilikosea sana kuwaza hivyo.
Poleee.Lol darl ,dadaako siku hizi niko busy ka customer care wa Airtel
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]nipo sema mambo mengi tu
Wewe bidadaa adimu sana siku hiziii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]taratib usije nifokea tu
Jishangae [emoji4]Wewe sio wa ukunifanyia hivyo ujue[emoji4][emoji4][emoji4]
Wee hebu weka pic ako lol, natak kuona jomoneeeeeehSawa dear