Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Njoo nikusaidie kufunga babe 😍
Unakunywa pombe?Nilijiona mti mkavu ila sasa kimenipata kitu,
Nimepata kitambi kikubwa kweli japo nina mwili mdogo ila ukiona ilo tumbo sasa.
Mpaka sasa sijajua nimekosea wapi
Kha..
Jr![]()
Mhhh umeanza!? Mambo ya kuzungushana kama fundi na mteja sio mazuriHahah tanguliza ushauri mzuri huku natafuta angle nzuri ili kionekane vyema
Njoo nikusaidie kufunga babe![]()
Usifanye hivyo eti..
Sinywi kabisa.
Hahah mifano yako huwa inanifurahisha sana..!Mhhh umeanza!? Mambo ya kuzungushana kama fundi na mteja sio mazuri