Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Sasa unakwama wapi dokta wanguSinywi kabisa.
Nafikiri vyakula vya wanga vimeniletea haya.

Hahahah usijali panapo uzima,uko poa lkn jaman,miss u darl
Miss u more sisyHahahah usijali panapo uzima,uko poa lkn jaman,miss u darl


@Clkey kama yeye, safi!!
Clkey una ugonjwa wangu
Mzee naomba niende town mara moja

MnazarethUsifanye hivyo eti..
Sikuwahi kufikiri kama nitakipata,siku zote mie huwa sifuati diet.
Nipe mbinu na mimi
Naam kakaMnazareth
Uwiiiiiiiiiih qareeeeh
Na kukugombeza juu.Usinifokeee