ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,490
- 119,271
Aamin shemHivyoooo!!!!
Pole Shem.. Nitaweka nyingine tena kwa ajili yako.



Aamin shemHivyoooo!!!!
Pole Shem.. Nitaweka nyingine tena kwa ajili yako.



MamboEly!!!!!
Poa kabisa.Mambo
Hahahaha hebu nikione kwanza afu nikushauri kitu kizuriNilijiona mti mkavu ila sasa kimenipata kitu,
Nimepata kitambi kikubwa kweli japo nina mwili mdogo ila ukiona ilo tumbo sasa.
Mpaka sasa sijajua nimekosea wapi
Yako unaweka lini?Aamin shem![]()
Servers zimegoma hakyanani, nitajaribu leo.Yako unaweka lini?
Vizuri sana kama ni poa kabisaPoa kabisa.
Wooooooow mam




Jaribu sasa hiviServers zimegoma hakyanani, nitajaribu leo.
Wee dea kuna picha umepost na kufuta plz hebu weka nione, kabla sijakubonda vibaya, leo stak utan nataka picha zenu, Depal Zoë Heaven SentMiss you too dear. Za kuadimika?
Nibariki basi na kapicha![]()
UsinifokeeeWee dea kuna picha umepost na kufuta plz hebu weka nione, kabla sijakubonda vibaya, leo stak utan nataka picha zenu, Depal Zoë Heaven Sent
Huyu hakuwepo.Hivi we si tulikuwa wote kule mwenye miili iliyokosa adabu na utii?
Hicho kitambi imekuwaje?
Hahah tanguliza ushauri mzuri huku natafuta angle nzuri ili kionekane vyemaHahahaha hebu nikione kwanza afu nikushauri kitu kizuri