Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
HakikaInabidi tusiweke tena, tuweke za ukili tu.
Kama ndio zimeanza kunatia kwenye comment namna hii[emoji134] nitaweka za ukili na maparachichi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaInabidi tusiweke tena, tuweke za ukili tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika
Kama ndio zimeanza kunatia kwenye comment namna hii[emoji134] nitaweka za ukili na maparachichi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaoumia ni sisi mashabiki [emoji1787][emoji1787]Beautiful[emoji8]
Yeye ndiye anayeunga juhudi zangu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo maparachichi unaunga juhudi za SHIMBA YA BUYENZE
Sasa ole wako usinipe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani zimekupita peke yako sasa
Wanaweka Ila wanafuta baada ya sekunde mbili[emoji3]Jael, zoe, saint Anne, depal wadada kama wadada mmee trend sana kwenye haka kauzi, maneno ila picha ndiyo hamuweki[emoji848]
Yesu wangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ningejua nini we wa kishua
Tatizo umechelewa.Jael , Zoë , Saint Anne , Depal wadada kama wadada mmee trend sana kwenye haka kauzi, maneno ila picha ndiyo hamuweki[emoji848]
Mkuu mamboWanaweka Ila wanafuta baada ya sekunde mbili[emoji3]
Hebu nitajie anaefuta sana picha baada ya kuwekaWanaweka Ila wanafuta baada ya sekunde mbili[emoji3]
Aisehhhh hebu weka basi kwa mimi niliechelewa
Subiri hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka yako kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo ilikosea.Moderator uliyepitia reported comments Mungu akubariki sana [emoji173]
Saint Anne problem solved [emoji28] au ni mimi nilikosea nikaweka as attachment ndiyo maana ikanifanyia uswahili.