Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Vipi mkuu uliweza kulala mapema😅😅Embu pita maana nausikia hapa ni fujo tupu. Yaani ni kero sijui kama nitalala mapema..
Vipi mkuu uliweza kulala mapema😅😅Embu pita maana nausikia hapa ni fujo tupu. Yaani ni kero sijui kama nitalala mapema..
Akikujibu nitag..😅😅nataka kufanya tathminiVidole kike au kiume?
Ngoja udondoshe simu baharini sasa😅😅
We nae mbona unakaza hivyo...asipoenda na baby ataenda na nani sasa.![]()
![]()
Sio lazima uende na baby kurifreshi, unaweza jitafutia muda pia ukapumzika eneo kama hilo lina mvuto sio kitoto utulivu wa hali ya juu, ukikaa hapo hakika itakutia hamu za kukaza zaidi kuzitafuta pesa
Ulitaka kusema huniiti halafu irabu zikapandana ama?![]()
Ngoja udondoshe simu baharini sasa😅😅
Ukishindwa niite nije kukusaidia mimi ni mvuvi hapo niliyebobea mkuu😅Ntapiga mbizi...
Huhuhuhuhuh poleeeeeh
Vipi mkuu uliweza kulala mapema![]()
Akikujibu nitag..nataka kufanya tathmini
Ohooo oky..pole lakin..Ulizimwa ghafla nahisi kuna watu walipata taarifa wakaenda kutia neno pale...
Mwamba uko njema🤝Mikono ya mwaaume hiyo
😂😂