Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha, mbn mm sio mjeda sasa mtoto muzuri ,ila si unaona umekua mzalendo na mkakamavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna huyo mjeda wa kike mmmh hapan alinichukia sana, km adhabu zake nmepataah yaan nilihis Dunia chungu, nilijiroga sku hyo kumuuliza "why afande unanchukia" tobaaaaaaaah mweeeee ndo nilijua vizuri nn maan ya jeshi,
ile sku ya kuaga alinifata tulikaa San luzungumza plus kuomba nisimchukulie vbaya, na bla bla nyingi ila now nshamsamehee tyuuh
 
Hahahaha, pole sana , ila pia hongera kwa kupita kwa mujibu wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom