cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Eti eeeeeeh yaaan ntakeshaaaah
Ikifika saa nane ya usiku nishtue nipost.
Bon voyage
Hehehehe
hatareeeeeeeeeh, mweeeeehNgoja na mimi nikuige picha hiii
Umaskini?



Hii ndinga unayosukuma sio BMW kweli? Maan nmehisi hivyo. Lol
Wanaume wa Dar hao mkuu. Wanatumia sabuni na lotion maalum. Sisi huku Misungwi kwenye mashamba ya nyanya mikono na vidole vya kazi aisee vimekunjamana hatari. Maisha !!!Vidole kike au kiume?
Aiseeeee!!Wanaume wa Dar hao mkuu. Wanatumia sabuni na lotion maalum. Sisi huku Misungwi kwenye mashamba ya nyanya mikono na vidole vya kazi aisee vimekunjamana hatari. Maisha !!!
View attachment 1509324
Nami niko Moshi.
Aaaa siandiki tena.Umaskini?
Niajiri niwe nahakiki meseji zako kabla hujaposti![]()
Hii ndinga unayosukuma sio BMW kweli? Maan nmehisi hivyo. Lol
Nami niko Moshi.
Nimeingia leo alfajr lol