Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mathayo 6:25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Mathayo 6:26 Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
 
IMG_20200629_071546_1.jpg
 
Hichi kitabu cha Mathayo kina kinzana na andikoa la na ASIEFANYA KAZI NA ASILE, nini ushauri wako hapa Mshana Jr
 
Back
Top Bottom