Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha, nishapoa , asee bora imepita , kwa niaba yangu naomba nikuombe usiweke tena picha km ile

Unaweza kuua anko zako kwa presha ghafla ukashindwa kuandikiwa urithi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wangu weee tobaaaaaaah, yaaaan mbavu sina hapaaaaa khaaaaah, dadddy hebu kuwa mpoleeeh tyuuh, kesho deas zangu Depal na yna2 watakuta manyoyaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom