Ila wewe jamani...Poaaaaah tyuh, vipi wee hali yako.
Kwa mbaliii. NakionaView attachment 1489981
Ushapona wewe, hadi unakunja4!!
Nunua carpet mpya, acha ubahili.Uzi umepoa sana toka masaa 22 yaliyopitaView attachment 1489433
Mfyuuuu!View attachment 1489719chat na picha...
Walikurahisishia unapoingia tu ndani unawe mikono kwa maji tiririkaMwenye nyumba mlevi, fundi mla ganja. Waliwaza nini wakaamua sink liwekwe chumbani wakati kuna bafu? Mbeya mmenishinda tabia View attachment 1490045
😀😆😀 ni kama walijua corona itakuja maana haijajengwa juziWalikurahisishia unapoingia tu ndani unawe mikono kwa maji tiririka
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiomba mwingine sawa,ila wewe unajua mpk idadi ya nywele zanguHebu na juu
Nawaombea kwa niaba jamani. Tupia tuburudishe macho tu...Akiomba mwingine sawa,ila wewe unajua mpk idadi ya nywele zangu
unajua mapengo yangu yamekaaje,unajua nina ngeu ngapi usoni yani
Juu aombe mwingine ila wewe una homework zangu kbao hujazfanya.
Mmmmmh dea jomoneeeh nmefanyajeeeh mie?Ila wewe jamani...
Hamna kuombea mtu hapa halafu nani kasema Muda wa Homework upo bado?Nawaombea kwa niaba jamani. Tupia tuburudishe macho tu...
Najua yale mapengo yatakuwa yameshaota, we tupia kwa juu tuone uumbaji wa Sir God.
Homework nitafanya tu. Muda bado upo
Si shule bado kufunguliwa?Hamna kuombea mtu hapa halafu nani kasema Muda wa Homework upo bado?
Mapengo yanaendelea vizuri nilipata dentist akanpa vitu vya Tanzanite,nika fill in the gaps...