Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Basi mimi naombaAkiomba mwingine sawa,ila wewe unajua mpk idadi ya nywele zangu
unajua mapengo yangu yamekaaje,unajua nina ngeu ngapi usoni yani
Juu aombe mwingine ila wewe una homework zangu kbao hujazfanya.
Kwanza umepotelea wapi we kiumbe


