Utakua kipanga tu kama mdogo wangu Sakayo au mdogo wangu DepalOoh Kumbe yako ilitangulia eeh..!
Mimi hata sijijui kwa kweli [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua kipanga tu kama mdogo wangu Sakayo au mdogo wangu DepalOoh Kumbe yako ilitangulia eeh..!
Mimi hata sijijui kwa kweli [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We shauri yako sema nakusingizia tu, nitaleta ushahidi hapa ushangae
Uweke tuoneWe shauri yako sema nakusingizia tu, nitaleta ushahidi hapa ushangae
Ngoja niomberuhusa kwa mzee wa selfika mwenye uzi wake akiniruhusu nashusha mzigo hapa.....
Haya[emoji23]Ngoja niomberuhusa kwa mzee wa selfika mwenye uzi wake akiniruhusu nashusha mzigo hapa.....
Ngoja nimezee 😤Yangu imepita ilikua 10th
Naamini na wewe kipanga maana sisi timu june ni vipangaaa
Oohh usiku mwemaBhasi tu nimejikuta nakuita
Picha gani hizi we dogo, leta picha zenyeweView attachment 1489719chat na picha...
Usimezee mkuuNgoja nimezee 😤
Picha kama pichaPicha gani hizi we dogo, leta picha zenyewe
Akhsante na kwako pia ZoëOohh usiku mwema
NdiyooooPicha kama picha
DepalPicha kama picha
AbeeDepal
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Akhsante na kwako pia Zoë
Weka yako. Ukiweka kesho nakupa location uje kula mbuzi kitunguu 😜😜Ndiyoooo
Waiii..... ngoja niingie maktaba siwezi kosa hii ofa hakiWeka yako. Ukiweka kesho nakupa location uje kula mbuzi kitunguu 😜😜