SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,935


ndevu hadi sikioni mweeeeeeeh, uanaume umemkuta mwenyeweee khaaaahnigga uko na ndevu kama za baba mkubwa wangu mmoja snitch
Hapa mzee ukienda shushia lager bariiid unakuta kama uko peponi na malaika kadhaa
Maisha ndo haya haya
Haha nilishusha serengeti light 2 baridiii za fasta fasta, najisikia kuchangamkaHapa mzee ukienda shushia lager bariiid unakuta kama uko peponi na malaika kadhaa
Si kweli ule msemo wa wahenga walisema jogoo wa shamba hawiki mjini,
Kijana vipi mguuUzi umepoa sana toka masaa 22 yaliyopitaView attachment 1489433
Nafurahi kusikia hivyoNashukuru Mungu naendelea vizuri Zoë
Kwema kijana
Akhsante sana kijanaNafurahi kusikia hivyo
Huku kwema tu basi tuendelee na shughuli za kujenga taifa kijana
