Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,216
Tamu ina ladha ya mkojo wa punda...Huyu mnyama 😋
Cheers mkuu 🍻
Changamkiaa fursaWaiii..... ngoja niingie maktaba siwezi kosa hii ofa haki
Mkojo wa punda hapana aseeTamu ina ladha ya mkojo wa punda...
Ila ina harufu fulani nzuri nzuri. Naichanganyia na stoney tangawizi iko na good taste..Mkojo wa punda hapana asee
MamboAbee
Hizi dawa ulitumia enzi uko mtoto nimekunywa sana kutibia mafua ila sidhani kama zama hizi zipo pharmacy..Mkojo wa punda hapana asee
Hata me nilishawahi kutumia. Vya kale dhahabu... Ila kwa sasa nahisi haipoHizi dawa ulitumia enzi uko mtoto nimekunywa sana kutibia mafua ila sidhani kama zama hizi zipo pharmacy..
Bien. Natumaini kwako pia!Mambo




Mama mchungaji mic u jomoneeeeh,
Nawe swahiba ni team June pia? HBD.
Poaaaaah tyuh, vipi wee hali yako.
Basi Amina sana, ashukuriwe yeye muweza wa yote, aliye juu mbinguni.
AmenBasi Amina sana, ashukuriwe yeye muweza wa yote, aliye juu mbinguni.


nawee pia dea