amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Mgonjwa unaendeleaje?Uzi umepoa sana toka masaa 22 yaliyopitaView attachment 1489433
Mgonjwa unaendeleaje?Uzi umepoa sana toka masaa 22 yaliyopitaView attachment 1489433
Ashukuriwe MunguNashukuru Mungu naendelea vizuri amu
Kwema
Kwani hizo nazo zilikwama kijanaAkhsante sana kijana
Na shughuli za kulijaza taifa je?![]()
Ukiwa na jeraha/kidonda huruhusiwi kufanya hiyo shughuli ili kidonda kipone harakaKwani hizo nazo zilikwama kijana
Basi hiyo ajali uliyopata kiboko
Oohh basi na hizo nazo endelea nazo tu wala haihitaji ruhusaUkiwa na jeraha/kidonda huruhusiwi kufanya hiyo shughuli ili kidonda kipone haraka
Ukifanya huponi kwa uharaka Zoë
ZoëOohh basi na hizo nazo endelea nazo tu wala haihitaji ruhusa
Nambie
Bhasi tu nimejikuta nakuitaNambie
What is so special with the day mrembo
Kumbe na wewe ni timu June mwenzangu
Ndiyo mkuuKumbe na wewe ni timu June mwenzangu
Hongera sana
Happy belated Birthday![]()
Yangu imepita ilikua 10th
Ooh Kumbe yako ilitangulia eeh..!Yangu imepita ilikua 10th
Naamini na wewe kipanga maana sisi timu june ni vipangaaa