Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,378
- 176,229
![]()
![]()
![]()
![]()
Maisha ya mtandaoni yanatuumiza sana.





Jf nayo haina adabu, kwanini inaonyesha sasa

![]()
![]()
![]()
![]()
Maisha ya mtandaoni yanatuumiza sana.






Hahaha, na kwann yawaumize sasa![]()
![]()
![]()
![]()
Maisha ya mtandaoni yanatuumiza sana.
Hahaha![]()
Hata najua sasa.
Cha msingi tule mkata wa bwana huo tushibe.
Wewe njoo Mwenge Mpakani tupige zoezi...........Oohh nikahisi unaishi kule ubalozini
This your mother ? I envy you man!WakulungwaView attachment 1487805
Usijali ntakuja tena hapo tuWewe njoo Mwenge Mpakani tupige zoezi...........
Njoo ili nikupeleke hadi kwa Mwamposa.Usijali ntakuja tena hapo tu
Ndio mkuu......asantee sana zimefikaaaThis your mother ? I envy you man!
A very Big Happy Birthday to her.......
Wish you all the best buddy, always Cherish her.Ndio mkuu......asantee sana zimefikaaa
Mwee yani tukimbie toka mwenge hadi kaweNjoo ili nikupeleke hadi kwa Mwamposa.
Tukakanyage mafutaMwee yani tukimbie toka mwenge hadi kawe
Hahaha hao manabii wenu wa siku hizi sitaki hata kuwasikia bora nibaki na dhambi zangu tu! Ndiyo unasali huko mkuu?Tukakanyage mafuta
Twende kwa Mwamposa Bwana, tukitoka huko tunaenda hadi kwa GwajimaHahaha hao manabii wenu wa siku hizi sitaki hata kuwasikia bora nibaki na dhambi zangu tu! Ndiyo unasali huko mkuu?
Ah thubutu yanguTwende kwa Mwamposa Bwana, tukitoka huko tunaenda hadi kwa Gwajima
nigga uko na ndevu kama za baba mkubwa wangu mmoja snitch