Woga wenu ni kutafitiwa chumba first date, sasa siulizi chumba hadi date ya kumi, utaanza kusema hivi unaishi wapi, natamani nije kupaona...teh teh! Kitachofata itv sote tunajuaHahaha unajikuta gentleman eeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe mchokozi sio. Sikuwa na maana hiyo uliyodhani, nilimaanisha siku ya kwanza kuonana sio siku ya kunywa pombe, kulewa na ku-misbehave kwa mtu msiyejuana. Ikibidu soft drinks tu, basi hata "wali maharage" sio vibaya[emoji23][emoji23]
Kwanini hauwezi sasa wakati ni rahisi tuHii tabia sijui nitaacha vipi
Mmmmh!! Wewe kabisaaa!Hahahaha, mimi nakutega tu, siulizi habari ya vyumba date ya kwanza hadi ya kumi. Hadi itafika siku wewe ndio utasema "hivi humu hamna vyumba kweli, najisikia uchovu".[emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Woga wenu ni kutafitiwa chumba first date, sasa siulizi chumba hadi date ya kumi, utaanza kusema hivi unaishi wapi, natamani nije kupaona...teh teh! Kitachofata itv sote tunajua
Hata mi kuna muda huwa nina mawazo hayo. But at the end of the day we are all human beings.Nitaonekana ninaringa..I'm not that special
Marahaba mdogo wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mdogo wake mwingine [emoji23][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh hapana Heaven Sent hajakufikia kwa majibu unamsingizia. Bora hata ungeniambia unatoa kwa Khantwe ningekubali.
Cc Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka siku ya kwanza nilipigwa wali maharage na maji ya kandoro[emoji134][emoji134][emoji134] ama kweli kipendacho roho.
Mwanaume wewe sio mtu mzuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli Joanah naye ana majibu fulani hivi kama ya Khantwe, haki dada yenu akili zake anazijua mwenyewe bora hata dada angu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dadangu kidogo Joanah anamkaribia
Naunga mkono hoja.Hahaha....Huwezi kuwa mwanaume wa kisukuma halafu ukawa bahili Jael
Wanaume wa kisukuma tunasifika nchi nzima na dunia yote kuwa siyo bahili
Tunaongoza kwa kupenda/kupendwa/kujali/kuthamini na kuheshimu kila mtu........
Karibu Jael[emoji1]
troublemakerNaunga mkono hoja.
Mimi namkubali Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli Joanah naye ana majibu fulani hivi kama ya Khantwe, haki dada yenu akili zake anazijua mwenyewe bora hata dada angu.
She is a comedian kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi namkubali Sana [emoji23]
Siku nikitaka kucheka natafuta comments zake
Mr trouble[emoji848][emoji848][emoji848]Naunga mkono hoja.
bebeshi.Mr trouble[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]She is a comedian kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mwenyewe anakuambia anayoyaandika humu anayaona ya kawaida ila anashangaa watu huku tunakufa mbavu