Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Asante mamyUna ulcers?!!pole sana!uko mkoa gani?
Niko mbeya
Asante mamyUna ulcers?!!pole sana!uko mkoa gani?
Punguza mawazo kwanza ndo shida kubwa...kingine unaujua mti wa mlonge?Nadhani na Mimi tatizo lipo kwenye mawazo.
Hapa katikati nimepitia kipindi kigumu..overthinking inanitesa Sana, matokeo yake ni haya nimeyapata.
Nitajitahidi nipunguze
Akhsante kwa ushuhuda[emoji120][emoji120][emoji120]
Wacha wee[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120]Amin utakuja tu mwili!maana ile misosi automatically utanenepa!
Pole sana dearNadhani na Mimi tatizo lipo kwenye mawazo.
Hapa katikati nimepitia kipindi kigumu..overthinking inanitesa Sana, matokeo yake ni haya nimeyapata.
Nitajitahidi nipunguze
Akhsante kwa ushuhuda[emoji120][emoji120][emoji120]
NdiyoPunguza mawazo kwanza ndo shida kubwa...kingine unaujua mti wa mlonge?
Hahahaha!usiombe unene siyoooTubadilishane
Kweli dunia mzunguko,wengine tunatamani kunenepa wengine wanatamani kukonda[emoji23][emoji23][emoji23]
Yakobo ana madini hatari[emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi vitabu huwa havinichoshi kusoma
And Niki couldn't be mbishi?What if Joh couldn't be Makini?
I'm here for u, feel free to talk to me!I'm an introvert type of a person.
Hapa kati nilikuwa kwenye shida kidogo ikawa inaniwazisha Sana.
Ndiyo
Hapana mbeya December mungu akipenda.Mkuu bado upo mbeya nije kunywa hiyo juice?
Ulishaondoka kumbe..Hapana mbeya December mungu akipenda.
Haya ndio maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Soon nitakuja kuwaona wazee
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji847]I'm here for u, feel free to talk to me!
Ukipata majani Yale fresh sasa ndo kiboko yake unatwanga unakunywa na maji ya moto ni nzuri mnooo!!!Ndiyo
Kuna kipindi cha nyuma Sana nilikuwa na unga wake ule.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji847]
Yaani ukianza kusoma ,unajikuta tu unasoma na kusoma.Vina madini Tupu mkuu..
Kuanzia Wakaraka za Paulo na hizo wakara zingine..! Ni vitabu vya vyembe habari ya namna ya kuishi katika Uungu..
Amen🙏🙏Ulishaondoka kumbe..
Sawa mkuu,Mungu atupe uzima.
Haya ndio maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]