Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya kupitia self isolation ya covid -19, mwenyewe porini mwenye miti mingi hapa jirani yupo kama mita 200 for two weeks nimejifunza mengi sana, zaidi ni kuwa na muda wa peke yako, unajitibu mengi sana...muda huu miezi michache iliyopita ningekuwa bar probably na demu mpya mkalii ananichuna, nikishusha konyagi zangu pendwa, huku wife ananisubiri home...now five days working, 2 days relaxing, kwenye kijiji kimoja, nimepunguza konyagi, napiga wine huku nikijisomea vitabu vyangu...maisha yanaendaView attachment 1462972
Hahaha

Kalaptop katamu
 
nimeona unalalamikia hizi Ila zina uhusiano na unavyotune akili,
Niliumwa nikafika stage ya kuharisha Damu Ila nilipona kwa kutibiwa mawazo kwanza
Nadhani na Mimi tatizo lipo kwenye mawazo.
Hapa katikati nimepitia kipindi kigumu..overthinking inanitesa Sana, matokeo yake ni haya nimeyapata.

Nitajitahidi nipunguze
Akhsante kwa ushuhuda[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukitoka hapo Unaenda [emoji116]

Yakobo 1 : 2- 3

Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;

mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Jaribu halikumpata mtu isipokuwa lililo kawaida ya mwanadamu
Ila Mungu ni mwaminifu
hatawaacha mjaribiwe ....

[emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom