Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,977
Ahhh hata wewe...sasa anatuma na ya kutolea halafu anachana mkekaWanatumaga na ya kutolea hao
Ahhh hata wewe...sasa anatuma na ya kutolea halafu anachana mkekaWanatumaga na ya kutolea hao
Hahaha!haijalishi mradi kaeka na ya kutolea baasi mengine yanajipaAhhh hata wewe...sasa anatuma na ya kutolea halafu anachana mkeka
Unamsaidiaje sasa au ndiyo mpaka umchaji na betriHahaha!haijalishi mradi kaeka na ya kutolea baasi mengine yanajipa
Bora umekubali.Naomba unipige faini aisehh nimekubali mashtaka yangu nina kesi ya kujibu







Hivi ulishaweka picha yako humu?
Bora umekubali.
Mzima lakini?
Leo nimemkumbuka mjomba![]()
Nenda page za juu kabisaHivi ulishaweka picha yako humu?
Ahh mjombo mzinguaji... Naikumbuka ile rupees acha tu, hasa na ukata huu









Kote nimepita sijaionaNenda page za juu kabisa
Hata dalili za kuipata hakuna...
Anaendeleaje?

Hesabu ulitoa sadaka na Mungu atakubarikiHata dalili za kuipata hakuna...![]()









Nimeshaisahau kabisa ila ikitokea sio mbaya, ila imeshanivunja matumaini kuisubiriHesabu ulitoa sadaka na Mungu atakubariki![]()

Mjomba ni mjomba.Nimeshaisahau kabisa ila ikitokea sio mbaya, ila imeshanivunja matumaini kuisubiri![]()





