Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,093
Wenyewe unakuja mwili automatically dear!!Mimi ni mfano hai kabisaaMimi nitakula zaidi ili niongezeke zaidi
Wenyewe unakuja mwili automatically dear!!Mimi ni mfano hai kabisaaMimi nitakula zaidi ili niongezeke zaidi
Samaki hapo tuu[emoji39][emoji39][emoji39]
Hahahaha!jamani jamani kwelii!tena hakuna kitu humoo!!
Yakobo ana madini hatari[emoji91][emoji91][emoji91]Ukitoka hapo Unaenda [emoji116]
Yakobo 1 : 2- 3
Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;
mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
Amin[emoji7][emoji7][emoji119]Wenyewe unakuja mwili automatically dear!!Mimi ni mfano hai kabisaa
Ahsante!!nakutamani balaa Mimi sijui km ntarudi hapoo!maana nna mtumbo na mvivu wa mazoezi nikianza wiki tu mmeacha!!yaani sijui hata mmekuwaje!Jamani [emoji7][emoji847]
Hangera
Huo mwili wako wa Zamani ni kama wangu wa Sasa.
Nimependa sketi yako.
Wow u too dear malaika wake wakulindeView attachment 1462971
Goodnight to y'all
Sawaaa, usijali kwa hilo, usije ukahonga tuu [emoji23]Really? Then I'm ..... [emoji3]
Amin[emoji7][emoji7][emoji119]
Wow u too dear malaika wake wakulinde
Nawe piaView attachment 1462971
Goodnight to y'all
I'm an introvert type of a person.Pole sana mchumba, why overthinking?
Una ulcers?!!pole sana!uko mkoa gani?Dogo nina balaa la ulcers hapa,kulala ni ishu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We lala tu uongeze kilo
😂😂Sawaaa, usijali kwa hilo, usije ukahonga tuu [emoji23]
TubadilishaneAhsante!!nakutamani balaa Mimi sijui km ntarudi hapoo!maana nna mtumbo na mvivu wa mazoezi nikianza wiki tu mmeacha!!yaani sijui hata mmekuwaje!
Wacha wee[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha me sijaenda kupima, ila jeans zimeshaanza kunibana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1462988what if Burna wasn't boy?! What if FA wasn't Mwana?
.....
NdiyoMbeya?
What if Joh couldn't be Makini?What if Wiz wasn't kid?